COASTAL UNION NA YANGA LEO JIONI
HATIMA ya Yanga kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Shirikisho la TFF (FA) inatarajiwa kujulikana leo baada ya kikao cha Kamati ya Mashindano kukutana.Mechi ya nusu fainali kati ya Yanga na Coastal...
View ArticleKONGAMANO LA DICOTA 2016 DALLAS TEXAS
Wadau mbalimbali waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma siku ya Jumamosi April 30, 2016 Washiriki wa DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma. Washiriki wa kongamano la DICOTA...
View ArticleMSIBA GLASGOW
Tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mtanzania mwenzetu Bi Mwasaburi Hajikilichotokea Jumamosi jioni huko Glasgow Scotland.Mipango ya mazishi inaendelea na mtajulishwa tarehe ya mazishi.Msiba uko...
View ArticleWAZIRI MKUU AKIWA LONDON AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya...
View ArticleTHE BIGGEST CRUISE SHIP IN THE WORLD
The $1billion boat arrives in Britain: World’s biggest cruise ship Harmony of the Seas rules the waves as it docks in Southampton ahead of maiden voyage Harmony Of The Seas is a 1,188 foot and...
View ArticleUJENZI WA DARAJA LA RUVU CHINI WAENDELEA VIZURI
Mkandarasi wa Estim Construction anayejenga daraja la Ruvu chini akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa alipokagua ujenzi huo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...
View ArticleAZAM FC 1 YANGA 3
Kikosi cha Azam kilichoanza dhidi ya YangaKikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Azam
View ArticleKUONDOA CHUNUSI KWA NJIA MBADALA YA KIASILI
Magadi Soda:Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge...
View ArticleWAKUU WAPYA WA MIKOA NA WILAYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139. Katibu Mkuu Kiongozi...
View ArticleDavid Cameron will be leaving 10 Downing Street on Wednesday
David Cameron will be leaving 10 Downing Street on Wednesday - nine weeks earlier than planned after another breathtaking day in Westminster saw the Tory leadership contest cut short. He set out the...
View Article